Ndugu yangu mpendwa, namshukuru sana MUNGU wangu kwa kutuoa nafasi nyingi ya kuiona siku ya leo. karibu kwenye mfululizo wa masomo haya kutoka katika huduma hii ya Ruhama healing ministry. leo tunakuletea somo jingine lenye kichwa kinachohusu IMANI.
UTANGULIZI:
ANDIKO: EBR 10:38 Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani ,Naye akisitasita ,roho yangu haina furaha naye.
Mwenye ni mtu aliye mpokea YESU kama BWANA na mwokozi wa maisha yake.
Mwenye haki hataishi kwa sababu ya wingi wa vitu alivyo navyo bali ataishi kwa imani.
Imani ndiyo mtaji wakumuwezasha mtu wa MUNGU kuishi hapa duniani.
warumi 1:17 Haki ya MUNGU inadhihirishwa ndani yake, toka imani hadi kama ilivyoandikwa, mwenye haki wangu ataishi kwa imani.
Kumbe kinachomfanya mtu mwenye haki ni imani iliyomo ndani yake. kwa maana hiyo ni kwamba kama hauna imani unapoteza haki ya kupokekea chochote kutoka kwa MUNGU .
lakini pia MUNGU anapenda kuona imani yako ikikua kutoka imani hadi imani.
Galatia 3:11 Ni dhahiri kwamba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za MUNGU katika sheria, kwa sababu mwenye haki wangu ataishi kwa imani.
Wakati wa agano la kale watu waliishi kwa kuifuata sheria, wakati wa agano jipya hatuishi tena kwa sheria, bali tunaishi kwa imani.
Ebr 11:6 lakini paspo imani haiwezekani kumpendeza kwa maana kila mtu amwendeae lazima aamini kwamba yeye yuko na huwapa thawabu wamtafutao.
Andiko hili linaongea kwa uwazi zaidi. Kwa lugha nyepesi ya andiko hilo tunaweza kusema kwamba kutokuwa na imani ni dhambi.
kumbe kuna vitu vingi tunavikosa katika maisha yetu si kwa sababu ya dhambi nyingine yeyete ile bali ni kwa sababu ya dhambi hii ya kukosa imani.
A.
Popular Posts
-
Kwenye Biblia popote palipandikwa kazi za shetani kuna maneno mawili yanatumika. Maneno hayo ni; Kuzivunja kazi za shetani kuziharibu ka...
Wednesday, 22 July 2015
ZIARA YA BISHOP SIMBEYE NCHINI UGANDA
Bishop Simbeye akimwombea kijana huyu aliye pagawa mapepo
Bishop simbeye akiwaombea watu mbalimbali waliokuwa wamefungwa na nguvu za giza
kijana aliye shambuliwa na mapepo baada ya kufunguliwa kulia mchungaji mwenyeji pastor ElishaSOMO: IMANI
Sehemu ya nne
HATUA TATU ZA IMANI
Ili imani yako iweze kuleta matokeo katika maisha yako, unapaswa kupita katika hatua tatu kama ifuatavyo.
1: Kuwa na lengo lililo wazi
Hatua hii inakuja baada ya mtu kulijaza neno la MUNGU ndani ya mtu. Kumbuka jambo hili, msingi wa imani ni neno la kristo. Kwa hiyo, unapolijaza neno la MUNGU kwa wingi ndani yako hapo ndipo imani huzaliwa, na imani ikizaliwa, imani hiyo itaanza kuleta msukumo ndani yako wa kuliingiza neno hilo ulilojifunza kwenye matendo.
Au niseme hivi, unapolisoma au kulisika neno la MUNGU, kuna kweli fulani utazikuta mle ndani, ambazo zitaleta msukumo wakuliingiza neno hilo kwenye matendo.
Na katika hatua hii, ndipo mtu hufika mahali pa kufanya maamzi ya kiimani, na maamzi hayo yanafanyika ndani ya moyo wa mtu.
Lk 15:17-19. Alipozingatia moyonimwake, alisema,ni watumishi wangapi wa baba yangu, wanaokula chakula na kusaza, na mimi ninakufa na njaa. Nitaondoka na kwenda kwa baba yangu na kumwabia, baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sisitahiri kuitwa mwana wako tena nifanye kuwa mmoja wa watumwa wako.
Habari hii inamhusu mwana mpotevu, aliyechukua sehemu ya urithi, na akaitumia kwa anasa na makahaba hatimaye mali yote ikaisha akaanza kuishi maisha magumu sana.
Baada ya mateso hayo kijana huyo alitafakari ni kwa jinsi gani anapata mateso makubwa kiasi kile, wakati baba yake ana kila kitu akapata ufahamu na akchuka uamzi.
Kile kitendo cha kuamua kwamba atarudi kwa baba yake na kuomba msamaha ndicho tunaita kuwa na lengo lililowazi. Na uamzi wake huo ulileta mabadiliko makubwa katika maisha yake..
Mungu. Ni kweli MUNGU ndiye baba yako na ana kila kitu, lakini unaweza kuendelea kuishi maisha uliyo nayo leo mpaka utakapochukua uamzi wa kiimani wa kufanya jambo.
Ni vigumu kutoka kwenye magonjwa yanayokusumbua mpaka utakapojua kwamba uzima na afya ni haki yako.
2:Kutamkaka hadharani kuhusu kile unachokiamini [ukiri]
mk 5:27-28.

ZIARA YA BISHOP SIMBEYE MKOANI MBEYA
Subscribe to:
Posts (Atom)